Makapuku Forum

Makapuku Forum

Antonio Conte ubingwa ushamlevya anajiona timu imekamilika na kuzubaazubaa tu sokoni
Next season mambo yatakuwa magumu
.....
Sio yeye mkuu make ata alivotoka likizo kwenye press conference aliongelea kutotimizwa kwa matakwa aliyoomba na mkataba wake alikuwa amegoma kuongeza kwa sababu ya mambo ya bodi ya usajili
 
Sina la ziada toka kwenye maktaba yangu siku ya leo ya tarehe 13/7/2017 tukutane kesho kwa udhamini wa nguvu kabisa wa Rooney. Niite Jimena Jimenes
Muwe na siku njema yenye furaha tele
 
NUKUU YA LEO

i just want to say a massive thank you to everybody at manchester united,thank you to the board over years, the managers and coache's i hav played under,the staff i hav worked with, the team mates i hav played alongside,and finaly the amazing fans that i hav been lucky to play for . Thank for the memoris

Nitoe shukrani zangu nyingi kwa kila mmoja klabuni Manchester United, wakurugenzi wa bodi kwa miaka niliyokuwa hapa, mameneja na makocha niliofanya nao kazi, stafu niliofanyana nao kazi, wachezaji wenzangu niliocheza nao, na mwisho mashabiki ambao nimebahatika kucheza kwenye klabu yao. Asanteni kwa ukumbusho huu


Haye maneno yametamkwa na mwanasoka wa kiingereza na kipenzi cha klabu ya man united na everton za uingereza Bw. Wayne Mark Rooney .

Rooney alizaliwa October 24 1985 katika jiji la liverpool nchini uingereza.

Rooney amecheza michezo 77 akiwa na everton na kufunga magoli 17 tuu, amecheza mechi 559 na kufunga magoli 253 akiwa na man united.

Rooney anashikilia rekodi ya ufungaji wa magoli mengi zaidi klabuni MUFC na Time ya Taifa.

Leo atakuwa anacheza mechi ya 78 na timu ya Everton dhidi ya Gor mahia ya kenya, baada ya kurudi katika Club yake ya zamani ya Everton.

Leo Baba kai au (R10) au Wazza atakuwa Taifa pale..
f3e7f9f9790935c743999348edc2a038.jpg
a59cc6376bd588bc61d27f0d99fce0fb.jpg

894cf14c114482d21a44de925bbf77a5.jpg


Kwa hisani ya Bitoz, shunie, mossolin5, Nyagei na Transcend.

Team OT..
 
Kwahiyo hizi timu zetu (Yanga ,Simba & Azam)zimeshindwa kukipiga na Everton???
Azam itoe aunt ....

Singida ..simba na yanga waliletaa mapuuza ndo imekula kwao sasa leo timu mojawapo ya tz ingelijiandikia historia....Ila na hii ilisababishwa na mipango mibaya ya sportpesa cup wakati timu ya taifa ilikuwa ikijionoa wachezaji wengi hawakuwepo...


Shubaaaamiiiiiitiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom