Usijali mdauAsante na pole Bitoz
Muziki: Jumatano ya Majoka
Ni siku nzuri kabisa kwa kila mmoja hapa (hata kama ni mbaya mimi najiaminisha tu kuwa umekuwa na siku nzuri), kwani uongo jamani, si wote ni mashuhuda hapa KF kumechangamka utasema mtindi uliotiwa ndimu. Vitu vingine havijaribiwi, na kwa kuwwa wewe u sehemu ya makapuku basi Jukwaa hili ni sehemu bora kabisa kuwepo. Mimi nipo, wewe pia, na yule asiyekuwepo bado akija hatokosa kitu.
Ni furaha kuonana kila mmoja akiwa amechangamka, kuna vingi vinavyochangamsha na ukichangamshwa vinachangamka na vingine vinasisimka. Unajua nini, uchangamfu ni jambo zuri kwa sehemu yake na inapotokea unachangamka kupitiliza basi wengine watachangamka kupita kiasi. Asante sana kwa mzeewakungoa kwa kulichangamsha Jukwaa leo, you rock! Kile sijui ni kilugha gani me nikaishia maneno utamu na sikukunda, anyway.
Muziki sasa, mnajua pale mwanzo nilitaka kutunuku wimbo kwa husna muba , huyu ni mtu muhimu kwangu, ikiwa hujui jua hilo. Baadaye nikapata ombi la Sakayo ambalo namshukuru sana Transcend kwa kutupia wimbo wa Z-Anto kijana wa Kigamboni. Well, nimetafakari nikagundua kutokana na kibaridi hiki wengine kuoga mtihani, ni mwemndo wa pasport tu. Sasa husna muba nitamtunuku wimbo siku kila mmoja akiwa ameoga mwili mzima.
Kujiandaa na kuoga mwili mzima lazima uchangamke na ninakuchangamsha kwa chaguo la anko wangu lee empire akiungana na pedeshee mwenzake Koffi Olomide, Mopao muzee ya batoto anahgawa cheni za gold wewe gawa shanga zifuliwe kwa foma gold.
Nakupenda Kapuku mwenzangu na unalijua hilo. Burudika
NB: Nawashukuru wote ambao mnakuwa na nafasi ya kupendekeza wimbo, heshima kwenu sana
Kingine wanalinda papuchi zao zisiwe pwaaaYaani nina evidence..
Kuna rafiki zangu 3 wemepeleka wake zao private wote wamekula kisu..
2 walienda govt wamejifungua kawaida? Then nikaaza kusikia hizi rumours


Wahindi ni wachafu na wapenda ngonoHawa sikuwategemea
Kumbe alipomdunda dansa wake hafharani pale Nairobi ilikuwa sawa tu![]()
![]()
![]()
![]()
Kofi hajawahi kukosea
Pamoja mdauAsante mkuu Bitoz![]()
Pamoja sana Mama MchungajiUbarikiwe mkuu Bitoz
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Pamoja sana mdauShukrani mkuu Bitoz kwa kumi bora
Njia rahisi ni kujipendekeza tu kwa Bashite ndo utaweza kumrithi MwakyembeTupo pamoja makapuku wenzangu naomba nipewe wizara ya habari
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Duh umenikumbusha mdauNa historia inaonesha ukimwi Tanzania ulianzia mipaka ya Uganda na Tanzania ...kagera Bukoba ndo ulipenya ...
Vijiji vya bukoba katika wilaya ya missenyi impacts ni kubwa sana
Poa poa mkuuPamoja sana mdau
Tukutane kesho
.....
Kama nitakuwa sijakosea mgonjwa wa kwanza alipatikana mwaka 1981 hapa nchiniDuh umenikumbusha mdau
Nishawahi kusikia sikia sana kwamba mgonjwa wa kwanza alipatikana huko
.....
ISAYA 49
WAPENDWA..MUNGU NI BABA YETU,HATUSAHAU KAMWE AMETUCHORA KATIKA VITANGA NI UPENDO WA MILELE
Pamoja sana Mama Mchungaji
.....
Ubarikiwe ....!!ISAYA 49
14.Bali Sayuni alisema,YEHOVA ameniacha,BWANA amenisahau.
15.Je!Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye,hata asimuhurumie mwana wa tumbo lake?Naam hawa waweza kusahau lakini mimi sitakusahau wewe.
16.Tazama,nimekuchora katika vitanga vya mikono yangu,kuta zako ziko mbele yangu daima.
WAPENDWA..MUNGU NI BABA YETU,HATUSAHAU KAMWE AMETUCHORA KATIKA VITANGA NI UPENDO WA MILELE
ASANTE BABA kutufikisha usiku huu salama,asante kwa yote uliyotutendea,asante kwa neema mchana kutwa..tuma malaika walinzi watuzingire mpaka asubuhi,tunavunja kazi zote za muovu shetani usiku huu ,Damu ya YESU itufunike...ponya wagonjwa,fariji wafiwa,watie moyo waliovunjika moyo tuguse BABA majeraha yetu ni mengi tupate uponyaji wa mwili na roho katika jina la Yesu Amen
USIKU MWEMA MBARIKIWE MAKAPUKU WOTE..MUNGU HAJAWASAHAU,HATAWASAHAU AMEWACHORA KATIKA VITANGA ..ANAWAGUSA MGUSO MTAKATIFU AMEN![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Amen nawe pia barikiwa