Makapuku Forum

Makapuku Forum

6/Tanzania
b5e9862b99de48f07f6b30cd90f18375.jpg
c16a4b256f13497398534296038f03b9.jpg
0433b3e24ac3860e534d8b6e28132747.jpg

Ferouz aliimba Starehe zimemponza .....Mwanafalsafa akaimba Alikufa kwa ngoma Komba nae pia akaimba kivyake
UKIMWI ni janga Tanzania binafsi ni mtu wa Green City na nimezika ndugu wengi kutokana na hili janga ambalo kwa Tanzania Mbeya ni miongoni mwa vinara....Wanyaki kwa kupenda ngono nafikiri wanajulikana ila pia sababu nyingine ni ya Kijiografia
Kwa wasanii Twanga Pepeta wamepukutishana wenyewe kwa wenyewe kutokana na kupasiana nasikia kuanzia BanA,Aisha Madinda,Diana Aston Villa,Abou Semhando wote walikuwa na ngoma huku Ally Chini mzee wa mafarasi naye nasikia humo
Tanzania ina idafi ya watu zaidi ya Milioni 50
Watanzania zaidi ya 1,400,00 wamejiunga grid ya taifa
.......
Kwelii kabisa ....
 
Swali kwa wanawake;

Cc Shunie na husna muba BlessedHope


Kwanini siku hizi wanawake wengi wanajifungua kwa operation?

NB;

Kuna tetesi zinadai Hospitali za Private zina-influance mtu afanyiwe operation ili wao wapige hela tofauti na hospitali za serikali?

Kujifungua kwa operation Private ni 1.8million hadi 4 milion?

Sasa whats going on behind these? kuna ukweli?
Wengi washaifanya fashion ndo maana mimama mingine haina uchungu na watoto wao shenzi taaaaiiiipuuuu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom