Makapuku Forum

Makapuku Forum

d55f5df337410d83232b489935759c93.jpg

Damu changa acha sifa nenda kanywe chai
Inatosha

.................
Kamtoa mshana jr ???? Daaaah

Bigup kijana wangu youngblood
 
Brother hili swala halihitaji kupanic kabisa,unajua mimi mwenyezi mungu ameniumba na roho nzuri sana hivyo nikiona mashemeji zangu kama aggyjay na Lizzie wanakosa raha lazima niwasaidie tu.

Hii kitu najivunia sana.
Mwandani wangu aggyjay anafuraha na anapenda sana kuwa na mimi at all, sikuelewi kwa ukisemacho wewe kijana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom