Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Kugongewa siri ya ndani eehHawezi kubali
Kugongewa siri ya ndani eehHawezi kubali
Me nishawahi kugongewa LIKE na Maxence Melo na Invisible ...hizi ndo like nzito siku ukizipata inabidi ufanye shereheAisee.
Hii kweli sifa.
Hata mi najuaShempenzi, wanakudanganya tu hao hawaniwezi kitu.
Siri ya ndaniiiEmmyguy kakanusha
Na wewe ndo walewale kasoro tarehe.atupe sisi tunaojua kulea na kugegeda
Damu changa kafunikaMuache tu hata hizo likes zinamtosha kupozea maumivu, si unajua kwamba alishaachwa?
Asante kwa kulitambua hilo mpenzi.Hata mi najua
Shemeji hongera sana kwa kuwa namba 1 kwa member mwenye likes nyingi JF nimeipenda sana hiyo..Keep it up na tutaendelea kukupandisha utukufu hadi utukufu..Kweli shemeji huu moto wangu hauzimiki.
Ha ahaaaa.....kumbe nawewe unajua....
Hhahaha.Mwanaume zipu nje utamjua tu
Jitake radhi mwenyeweHhahaha.
Naomba nitake radhi mrembo.
Na emmy Alisha achwa piaBaada ya kuachwa nahrene
Hajaachwa wamepeana nafasi kidogo tuNa emmy Alisha achwa pia
Hususan chitchatHahahaa...
Kuwa Jf ni raha sana asee.