EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Tumelewa sifa.Makapuku mmekuwa wachoyo wa likes why?
Tumelewa sifa.Makapuku mmekuwa wachoyo wa likes why?
Tupeane taarifa hapo baadae Mkuu.Kabisa kabisa mkuu..
Kuna wengine wanapenda kupewa tu likes ila wao kutoa huwa ni ngumu. Mi nawaangalia tu.Wanatoa kwa kusua sua sana...Ila zinatoka sana siumeona youngblood kawa kilelen kwa kuwa na likes mingi kushinda member yeyote huku..Ila kweli wengine hawatoi ipasavyo..
Mtumish mimi nakukubali sana ila sometym unakengeuka kidogo..
Ndo kwakuwaita 'Shemdarling'?Tatizo lako sjui ni ushamba!
Ukiona nataniana na watu wewe una mind!
Salama kabisa shem, mambo vipi lakini?Salama humu ndani?????????
Itakuwa mbaya sana kwani hiyo ndiyo ilikuwa sifa yetu kubwa kupandishana kwa likes mingi..Tumelewa sifa.
Kulewa sifa ni kitu ambacho kitakuja kutuangusha siku si nyingi. Kuna wengine wamekuwa wakitoa likes kwa kujuana.Itakuwa mbaya sana kwani hiyo ndiyo ilikuwa sifa yetu kubwa kupandishana kwa likes mingi..
Tutaweza kulike post zoteMakapuku mmekuwa wachoyo wa likes why?

swalama sana.Salama humu ndani?????????
Mtu km HAKULIKE ht post yako 1 kati ya 5 na ww si unamkaushiaWanatoa kwa kusua sua sana...Ila zinatoka sana siumeona youngblood kawa kilelen kwa kuwa na likes mingi kushinda member yeyote huku..Ila kweli wengine hawatoi ipasavyo..
Kidato cha tatu na cha nne.
Kama mimi ninavyofanya.Mtu km HAKULIKE ht post yako 1 kati ya 5 na ww si unamkaushia
It is simple
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Unachungulia wanaokupa likes zen nawewe unafanya yako...me kuna watu nawajua hawagongagi likes na me huwa siwagongeiKama mimi ninavyofanya.
Topic ya leo boss ni Likes o....,Unachungulia wanaokupa likes zen nawewe unafanya yako...me kuna watu nawajua hawagongagi likes na me huwa siwagongei
It is easy
..............
Hakuna topicTopic ya leo boss ni Likes o....,
Hahaa... Ni kweli.Tutaweza kulike post zote
kila tukiingia unakuta zipo 100+ halafu mtu m1 post 20
Ni vigumu kugonga likes post zote
![]()
![]()
![]()
![]()
.....,............