Makapuku Forum

Makapuku Forum

cd5d5a2da779cdb3fcbec63851a488a9.jpg
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Wengine wapo wapo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilikuwa hapa
Darasa la kupigilia pamba kijanja

Hebu cheki hapa mtu anatokwa povu....kisa? Lengo lake ?
Mtu nimemwambia hakuna uhusiano kati ya uvaaji wa mtu na pesa ila anakoroma tu labda anataka aonekane yeye ni mtu wa maana
JF bhana !!!
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Wengine wanagombana na wake au waume zao afu hasira zake anakuja kuzimalizia huku jf
 
Back
Top Bottom