Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umenikumbusha mbaliii ....unakumbuka mjumbe alikuuliza nini?? Na wewe ulimjibu nini ... ila wewe utundu wa katabiaa aka ulianza mwanzoni make kisa cha mtoto wa mjumbe kuniletea maji ukamtuma maziwa ...mjumbe ngoja agomeshee kusaini ili utambuliwe

....na alipoleta maziwa ukasema wewe ndo umenileta mjini ukayanywa , ila baaadaye alinipaga mtindi, nikasema haina noma wakubwa mlifaidi
 
....na alipoleta maziwa ukasema wewe ndo umenileta mjini ukayanywa , ila baaadaye alinipaga mtindi, nikasema haina noma wakubwa mlifaidi
Sema ndo hivo huyo sabrina aliolewa akaachika ana watoto wanne kila mmoja na baba yake ...ila kuna mmoja wanasemaga ananifanana kwa mbalii
 
Aaah , mjomba enzi zile unanileta mjini si unakumbuka nilivyokuwa nawatambia wanafomufoo wenzangu kuwa mimi nikimaliza shule tu naenda Dar kwa anko. Kweli bhana ukanileta mjini, tatizo likawa malezi ya dadaako na wewe no tofauti, nikajikuta nafuata malezi yako.

Yule mjumbe yule mwanae unawasiliana naye bado maana ilikuwa excuse yako ya kuwa unaripoti pale everytaimu


Afu sijapiga mbizi kigamboni bhana, nimepita hii njia ya tiper bahari imekupwa


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom