Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mlienda lini USA?
Inabidi aongeze bidiiMpe nafasi hyo Q aunt yngu,kaimba mashairi mpaka koo limemkauka
Me mzima mkwe wangu za hukoMama mchuchu nakusalimiaa
![]()
![]()
me nmekuchagulia mirinda nyeusi
Asante ila leo majiMuziki: Furahia Kama Uko na Miaka 21+
Sina hakika kama nimechelewa kusalimia, salamu ni salamu haina wakati kama salama kond... Nami kwa kuwa nimekukuta hapa sina budi kukusalimia Kapuku mheshimika, unajua sitochoka kusema wewe ni sehemu bora sana ya forum hii, na uzuri unalijua hilo bila kujali unamiliki Tecno werevaa, singsung/samsung, nokio 3310, laptop, ipad, kindle na devices nyingine, uzuri wote tunakutana hapa kusaka na kusambaza maarifa.
Naamini ulikuwa na siku mbili nzuri za mapumziko na ndiyo maana nasema Happy Monday, wikend ilikuwa na mengi, tumeona hela zilizosemwa sio za serikali zikirudishwa serikalini. Tumeona Taifa Starz ikiibuka namba tatu (hii ni nzuri kuliko ile nafasi ya miaka yote inayoshikwa na Arsenal Starz)
Muziki sasa: kama kuna kitu kinachowaleta watu wa rika zote karibu, muziki lazima utakuwa ni mojawapo ya kitu hicho. Amini usiamini, watu wa mataifa na washika dini huunganishwa na muziki. Miili yetu imeumbwa kupenda muziki.
Anitwa Sean Paul, mfalme wa dancehall toka Jamaica ambaye kiukweli ana nasaba za karibu asili zote, Myahudi, Mzungu, Muafrika na Mchina kwa ndani. Inawezekana kwa sababu hii akaamua kuchagua ragga kama muziki wa kumtoa maana ragga nayo ina mchanganyiko makande yamesingiziwa.
Una miaka 21+ basi furahia maana jela hupelekwi sehemu ya watoto, na kwa kuwa unapenda midundo basi hebu burudika na ngoma hii ya jana lakini inavuma hadi leo, huku ukijitahidi kufuata na kutii bila kuitia sheria maana jela hakuna disco
Muziki: Furahia Kama Uko na Miaka 21+

SawaInabidi aongeze bidii
Mefurahi tuHusna
Nini jmn

Namkubali sana, napenda sauti yake ilivyo na mafua mafua
Nimelelewa uswaz
Hivyo nina uPogba
Ni staili tu ya uandishi
Ila siyo uhalisia
![]()
![]()
![]()
.......

Umemisika. Karibu sanaHodiiiiiiiiii
Asante Obe ,ubarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
![]()
Cc Husna
![]()
![]()
![]()
.
.
.
.
Tukutane kesho
.............
mi siandiki km dokta bana

USA river hapa kwa chuo cha wadanish ndo tupo kwa sasa hivi, karibu sana

Mefurahi tu![]()

PowaMukongo mambo
Tayari ni rasmi sasa, kilichobaki ni utambulisho tuSijajua ila itakuwa # 10 tu
Km vipi # 9
Bado haijawa confirmed
.....
Ni #10 au # 9
Hawajaonesha wala kuconfirm
Tukutane kesho mdau
.......