Kumbe ndio shem wetu huyo
Thanks bitozEnd![]()
......
Hata mimi=TECNO..ILA sikujua kama inakera ngoja leo niwambie vijana waitoe.mi huwa naona sawa tu maana nabadili simu mara nyingi nawakati mngine huwa sijui kama inasomeka nasonga tu nitakuwa natoa mapema.

Inajazaje na ipo chini ya post?tena line moja tu hapa itafanya watu wawe woga kama hajui kutoa, tuvumiliane kama mimi hapa mpaka watoto warudi wanitolee mtaendelea kuona hivyohivyo,sasa kama mtu hawezi kutoa na hajazoea hapa MAKAPUKU akiona hizi kauli anakimbia,jitahudini kuongea kauli zisizokatisha tamaa,watu tunatofautiana uelewa..........maana anaona aibu na ka TECNO/KAITEL/VODAFONE KAKE,me mnivumilie tu ndio nilizonazo hadi nitakapotoa au kununua Yenye hadhi.
pole mama vijana walikuwa wanatanianaAiseeeeWatu na pilikapilika tu
Nilienda benki kurejesha pesa ya Escrow km Wille
![]()
![]()
......
Hope umeshinda salama,pole na kaziMorning my love
Nimepata dawa tayar na nimeshatumia now kidogo naweza hata kutembea..
hospitali umeenda lakiniAmeniAsante sana mkuu JJ na udhamini wa mwaka mmoja na miez mitatu wa MAKAPUKU FORUM Mbarikiwe,MAKAPUKU IDUMU,UPENDO UDUMU
![]()
![]()
ukiona hivi ujue mgonjwa kapata nafuu,demi yupo kwenye mitala uctafute matatizo

UBARIKIWE TUPO PAMOJA KARIBU,NAFURAHI KUWA TUPO PAMOJA..MUNGU ANAKAA PENYE UPENDOAsante Mama Mchungaji. Asante kwa kuwa mwombezi wetu. Asante kwa ushauri wako. Asante kwa upendo wako. Asante kwa bashasha zako. Asante kwa kusimama katika kweli daima. Asante kwa kila kitu.
Mimi sijakwazwa na mtu humu na daima nitabakia kuwa kapuku tu. Tuko pamoja Mama Mchungaji. Tuendelee kuombeana na kusameheana bila kuchoka. Nami kama kuna kapuku nilimkwaza humu, naomba nisamehewe.
Yaani asante mdau Bitoz kwa hili ,napata tabu sana kulala nitalifanyia kazi barikiwa,camping sasa sijui nitaenda wapi

Jesus!Mungu mwenyewe anajua its really a miracle as namuona yuko healthy ....
Mbwa wana mambo mengi sana.
Lazima ili wajihami,wanajua kutengeneza marafiki na maadui