Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Watu na pilikapilika tuNaamini mu wazima wote...
Tupige kazi jamani
Nilienda benki kurejesha pesa ya Escrow km Wille
......
Watu na pilikapilika tuNaamini mu wazima wote...
Tupige kazi jamani
Asante Mama Mchungaji. Asante kwa kuwa mwombezi wetu. Asante kwa ushauri wako. Asante kwa upendo wako. Asante kwa bashasha zako. Asante kwa kusimama katika kweli daima. Asante kwa kila kitu.Naamini alikuwa anajoke...tumeshakua ndugu mahali hapa utani ni sehemu ya maisha..by the way unaendeleaje mkuu za uzima?tunakumis mahali hapa,wewe ni sehemu ya familia hii kama kuna mahali ulikwazika TUSAMEHE....tuendelee na maisha yetu.karibu nimefurahi kukuona hapa ubarikiwe![]()
Hbr ya mchana shemela pole na majukumuMorning Tumosa wa shululu
Ukikiri kosa unairahisishia mahakama kutoa hukumuWatu na pilikapilika tu
Nilienda benki kurejesha pesa ya Escrow km Wille
![]()
![]()
......
Yule ni "mtu wao" ndo muvi imeishia hapoUkikiri kosa unairahisishia mahakama kutoa hukumu