Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
UNAIJUA TABIA YA MAUMIVU YA NDANI AU UCHUNGU??
Maumivu au uchungu unatabia zifuatazo;
1. Uchungu unambadilisha mtu tabia.
2. Uchungu humfanya mtu kupunguza imani (trust) au kutomwamini mwingine kabisa. Uchungu na maumivu ya moyo humfanya mtu kufikiria kuliko uwezo wake wa kawaida.
3. Uchungu pia humfanya mtu kujifungia ndani yake mwenyewe kihisia (emotional neglect), hawezi kufunguka, hazungumzi kawaida, haelezei hisia zake, ukimya na kununa kusiko kwa kawaida. Uchungu ni mbaya sana. Nadhani kati ya vitu muhimu vyakuvihakikisha kwa mpenzi wako ni kuhakikisha unapunguza mazingira ya kumsababishia machungu