Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwani kuzaa hadi utangaze..jamani kuwa mjamzito ni BARAKA...HATA KAMA Mwanaume kakataa mimba....kaa kimya zamani tuliaswa mimba ni siri watoto wetu wanapenda kuizungumzia mno.kwani ukikaa kimya mtoto hazaliwi?natamani watoto wa kike wafahamu wao ni wathamani mbele za Mungu ,kama ulifanya makosa ukabeba mimba bila ndoa halali na me anakataa TUBU..SONGA MBELE MUNGU ANAMJUA MTOTO ANAEKUJA KULIKO WEWE NA HUYO ME..JOKATE KAMA NI MJAMZITO MUNGU AMSAIDIE AACHE MALUMBANO NA KUMTAMKIA MTOTO MANENO..WATOTO TUMBONI WANASIKIA[emoji120]
 
Hahahahaaaa hili gazeti kwa kutumia picha za mitandaoni halijambo
Mimba haziepukiki mbele smartphone na boda boda

Nachowaomba wanapopata hizo mimba wasizitoe wala wasitupe watoto

Maana kwa amri ya maagizo ya mkuu watajikuta wanatoa sana mimba na hii itaongeza hatari ya wao kufa

Huu mchezo ni mtamu sana-magufuli
 
Morning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan [emoji10]

Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss

Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja

Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana [emoji10]

Mungu awabariki sana sana [emoji120]

Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
 
Back
Top Bottom