Makapuku Forum

Makapuku Forum

6d59c0c60c160a4462750fcc69e52a6c.jpg
Asante shemeji sakayo nawe pia
 
YASIYOWEZEKANA KWA MWANADAMU KWA MUNGU YANAWEZEKANA

ZEKARIA 8

6.BWANA wa majeshi alimwambia Musa "ingawa hili ni neno lililogumu mbele ya macho ya mabaki ya watu hawa katika siku hizo,je!liwe neno gumu mbele ya macho yangu?Asema Bwana wa majeshi.

Mpendwa wangu ,rafiki yangu ,mwanangu,mdogo wangu,ndugu yangu hakuna jambo gumu mbele yetu likawa gumu kwa Mungu hata siku moja,hakuna linalomshinda Mungu.Anaweza yote unayoyajua.

MWANZO 18

14.BWANA alimwambia Sara mke wa Ibrahim kuna neno gani lililogumu la kumshinda BWANA ?Kwa muhula wake nitamrudia ,wakati huu huu mwakani Sarah akapata mwana wa kiume.

MUNGU wetu anaweza yote hashindanishwi,hasindani na yoyote,lolote,chochote ni mkuu mno njia zake hazichunguziki,mawazo yake nguvu zake hazifananishwi na lolote.

HESABU 11

23.BWANA akamwambia MUSA Je,mkono wa BWANA umepungua urefu wake?Sasa utaona neno langu litatimizwa kwake au sivyo

ISAYA 59

1.Tazama mkono wa BWANA haukupunguka hata usiweze kuokoa,wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia

2.Lakini maovu yenu yamewafarakanisha ninyi na Mungu wenu,na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone,hata hataki kusikia.

Pamoja na yote Mungu amependa kumuonyesha Musa kuwa hamna gumu kwake

Mungu ni yuleyule jana,leo ,kesho na milele habadiliki ahadi zake ni zilezile ni yule aliyewaokoa wana wa Israel na atatuokoa nasi hakuna linalomshinda tuache matendo ambayo yanatutenga naye,tuache kunung'unika,kukata tamaa,tuwapende wenzetu ,tuwajali tuchukuliane kwa upendo na kujua kwamba ni sehemu yetu ya maisha matakatifu.tuwaombee watu wote na tuwe tayari kusamehe na kuachilia msamaha hata kama tumeumia sana..Mungu anatenda katika moyo uliosafi usiombeba mtu ,usioumiza wengine usiohukumu...Mungu anaweza yote tumkimbilie yeye tu.SHALOM

MCHANA MWEMA MBARIKIWE
 
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom