kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,481
Heshima yako mdauJibuni kwanza yuko wapi afande shedede
Heshima yako mdauJibuni kwanza yuko wapi afande shedede
Akiwa amejinyonga je, si unajua wale walivyo
kumbe ni mjukuu Wa mkwawa???!!!Ukiandika 24 una maana gan mr.lee miaka 24 auTETESI ZA USAJILI LEO....
Manchester United wamekubaliana ada ya uhamisho ya takriban pauni milioni 75 na Everton ya kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku, 24.
Taarifa zinasema United sasa hawatoendelea kumfuatilia Alvaro Morata wa Real Madrid.
Hatua hii pia haihusiani na mazungumzo ya Wayne Rooney kuhamia Everton.
Kwema...?Mr Lee: husna anasema waliachana sasa nani atatusaidia kujua alipo
Nimeliona shemejiUmeona hili jibu shemeji
HeeeUsigune hata kidogo unajua alipo
Semaa Lee inaonekana kuna kitu mnatu ficha na husnaUnajuaaa
Nzuri babaHabari ya usiku mama
Hayaa jitahidi usifogetSawa kesho nitasema
Nipo nafutilia majibu yao yenye utataJibu hawatatoa
Husna siwezi kukutoa mpaka unipe majibu ya kuelewekaHata mie anitoe tu
Mkuu kibumbu upo, pande hizi poa kabisa, za pande hizoHeshima yako mdau
TushapoaMakapuku wenzangu wazima..?poleni na msiba wa mwenzetu Ibra87,r.I.p
Sawa ila utusaidie kumtafuta maana husna alisababisha aache kazi nae kaona hela zimeisha kamwacha Njia panda na hapo ndo hatuja mwona tenaMm aliacha kaz kitamboo
Ndio mkuuUkiandika 24 una maana gan mr.lee miaka 24 au
!!!!!Semaa Lee inaonekana kuna kitu mnatu ficha na husna