Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kuna anayesubiri hizo ajira?
Watasubiri sana bora hata kufuga sisimizi na kilimo cha mipapai
.....
Kuna anayesubiri hizo ajira?
Hii noma aisee
Binadamu hatuna upendo
Ukweli mtupu
Kila kitu kina faida mwiliniUnbelievable facts. ..
![]()
Hayo maneno tuUKIKUTANA NA SIMBA GHAFLA, FANYA HAYA..
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI au KIFUDIFUDI!
Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!
Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!
Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...![]()
Wapo wengi sanaKuna anayesubiri hizo ajira?
Watasubiri sana bora hata kufuga sisimizi na kilimo cha mipapai
![]()
![]()
![]()
.....
Morning mdauMorning washikaji
Nafikiri mpo poa
Leo wengi wa ofisini wapo kitaa kwaajili ya 77
Muwe na Siku njema
.......
Ni bora kujiajiri tu km mie nauza kashataaKuna anayesubiri hizo ajira?
Watasubiri sana bora hata kufuga sisimizi na kilimo cha mipapai
![]()
![]()
![]()
.....

Ukweli mtupu
Utasikia "siogopi kufa" lakini ghafla anatokea simba utaliona njemba linavyotoka nduki
Pia wengi tunaogopa kushindwa ndiyo maana hatufanikiwi
......

TrueKila kitu kina faida mwilini
Shida ni too much
....
Hayo maneno tu
Ila ukikutana nae hadi utajinyea na kusahau kufanya yote hayo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.,..
..
nitavaa ujasiriMornMorning washikaji
Nafikiri mpo poa
Leo wengi wa ofisini wapo kitaa kwaajili ya 77
Muwe na Siku njema
.......
Watasubiri saanaWapo wengi sana
Wapo wengi sana
Kiukweli ajira Siku hizimbindeWatasubiri saana
Morning mdau
Fresh tu life linasongaMorn
Happy 77 day
Mi Niko poa tyu