Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan

Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss

Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja

Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana

Mungu awabariki sana sana

Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Jamaniiii mdogo wangu
Kulikoni lakini....
 
Mm ndo naamka aisee hata mpango wa kwenda huko sina
Sawa muke ya Lacazette
f5969071393190ef723288908a13a7ff.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom