Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wengine wanadiriki mpaka kupicha vitumbo vyao ili kuvitupia mtandaoni
Huwa wanasababu za kufanya hivyo, kulingana na mazingira yetu wanawake wengi sana wanatoa mimba, mwingine mpaka kizazi kinaharibika anakuwa hana uwezo tena wa kutunga mimba

Sasa akipata rafiki atamsimulia na atakuwa na uchungu sana kwa nini alitoa mimba, muda huo anahitaji kuitwa mama lakini haiwezekani tena

Sasa rafiki yake akipata mimba tu ni lazima amlingishie kuwa yeye soon anaitwa mama

Hilo ndio tatizo kubwa sana la watu kupenda kuonesha mimba zao
 
Marahaba mwanangu za uzima?nini mbaya mwanangu?Natamani kukuona ukiwa na Amani ..NAKUPENDA[emoji7] [emoji7] [emoji7] NAJUA UNAJUA MUNGU ANAKUPENDA MNOO..USIMPE ADUI NAFASI YA KUKUVUNJA MOYO NA KUKUGANDAMIZA ..THE JOY OF THE LORD IS OUR STRENGHT ,NEHEMIA 8:10b...wala msihuzunike,kwa maana furaha ya BWANA ni nguvu zenu...
Namshkuru Mama naendelea vizuri usijal Mama angu kuwa na Amani kabisa [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] hofu ni kwako tu mtumie pm sakayo no mama
Shunie[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Huwa wanasababu za kufanya hivyo, kulingana na mazingira yetu wanawake wengi sana wanatoa mimba, mwingine mpaka kizazi kinaharibika anakuwa hana uwezo tena wa kutunga mimba

Sasa akipata rafiki atamsimulia na atakuwa na uchungu sana kwa nini alitoa mimba, muda huo anahitaji kuitwa mama lakini haiwezekani tena

Sasa rafiki yake akipata mimba tu ni lazima amlingishie kuwa yeye soon anaitwa mama

Hilo ndio tatizo kubwa sana la watu kupenda kuonesha mimba zao
Duuu
 
Morning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan [emoji10]

Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss

Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja

Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana [emoji10]

Mungu awabariki sana sana [emoji120]

Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Nawe pia ubarikiwe, kila la kheri huko unako kwenda
 
UKIKUTANA NA SIMBA GHAFLA, FANYA HAYA..

Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA CHALI au KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...

Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
8717287dd400ddd67103743857e8feef.jpg
 
Huyo atakuwa sio simba wa Ngorongoro
 
Back
Top Bottom