Makapuku Forum

Makapuku Forum

580d73c5cbcf1779c545cedf6c176bd3.jpg
 
5Janet Jackson
54b90b2bc25384635d57ce5703b9c20e.jpg
528f88c0031f45b500457ed95c99e062.jpg
Alizaliwa Mei 16 1966
Ni dada wa Michael Jackson....utotoni familia yao ilianzisha kundi la muziki liitwalo Jackson 5 ambapo na Wacko Jacko na wengine walitamba vilivyo na ukawa ndo upenyo wao wa kutokea
Juzijuzi amwbahatika kupata mtoto yaani uzeeni angalia mwaka aliozaliwa utaelewa tu
Katamba kimuziki na kuingiza pesa za kutosha
Utajiri wake haujulikani vizuei maana kuna data zanakanganya
Ila Ni kuanzia USD 200Milion hadi kama 600 Milioni hivi(sina uhakika)
.......
I see ,sijui utajiri wa kaka yake Michael nani anasimamia

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
6/Beyonce Knowles--Carter
2110401c996769d6914ac21d6ec69f68.jpg
bba97fb107313b27bfd61bd01dc2b68e.jpg

Amezaliwa Septemba 4 1981
Huu ndo usingizi wa Jay Z....Kama huna mpenzi wala usione wivu tafuta hata bata ulale nae
Beyonce na Jay Z wamejaaliwa mtoto mmoja Blue Ivy ila pia ana ujauzito wa mapacha(keshajifungua ?)
Nyota yake ilianza kung'ara akiwa Destiny's Childna akina Kelly Rowland na wengineo
Ana biashara kibao akishirikiana na Jay Z mbali ya kazi zake za kimuziki
Ana mkwanja unaofikia USD Bilioni 1 na ushee
.......
Safi

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
7Mary Kate & Ashley Olsen
0c66dd0ef897a5cdaa9ad12ac37a076b.jpg
f74cbb4fa1a2ee45dfde4c862c66b8ce.jpg

Wamezaliwa Juni 13 1986
Hawa ndo mapacha maarufu zaidi duniani ila siyo tu umaarufu bali pia ndio wenye mpunga mrefu duniani
Wanajihusisha na vipindi vya televisheni ila wana biashara kibao zinazowaingizia mkwanja wa kutosha
Wanamiliki kampuni ya Dualstar
Wana mpunga unaokadiriwa kufikia USD 350 Milioni
......
Hongera zao

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
8/Rihanna
9c7e441cfdc6ee00415fb94f07e2699f.jpg
276a447890d3abb48bb9da2ebc0fc6f1.jpg
Amezaliwa Februari 20 1988
Huyu dada amewahi kuvaa gwanda katika Jeshi la Marekani halafu akaamua kuacha
Kawahi kuwa demu wa Chris Brown wakamwagana baada ya kudundwa vya kutosha kiasi cha kuumuka sura
Ndiye nyota wa kibao cha Umbrella ila pia vipi vingine kibao vikali kami vile Diamonds na kingine matata cha Rude Boy
Ana utajiri wa zaidi ya USD 245 Milioni
.......
Safi

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
9/Judge Judy Sheindlin
a2f7effb5927968702c5ce727b2a1adf.jpg
adbc266a5fee3ea7691b9c247a6b622e.jpg
Alizaliwa Oktoba 21 1942
NiJaji,mwendesha vipindi vya luninga na pia ni mtunzi wa vitabu(maandishi huishi milele)
Ana Shahada kutoka chuo kikuu cha American University na pia kupata mafinzo ya uwakili kutoka New York Law School ila usishangae kwa Nchi zilizoendelea kuwa na madegree siyo kitu cha kutambia mitaani sio kama akina Profesa Lipumba wanavyotusumbua huku
Ana utajiri unaokadiriwa kuzidi USD 230 Milioni
. .......
Ameutumia usomi wake vizuri

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
TOP TEN
Week end inaendaje wanangu?
Kama vipi njooni Mabibo City Nite Club tule gambe wana....maisha yenyewe mafupi kama stuli !!
Kama kawaida Ijumaa tunamaliza week kiburudani au kiudakuudaku zaidi maana ndo mwendo wetu siasa zinachosha

Umaarufu bila pesa ni kazi bure au ukipenda sema ni kuuza sura tu
Kwa Bongo wanawake maceleb wenye mkwanja ambao unaeleweka ni Lady Jaydee(komando Jide} na Jokate Mwegelo {Kidoti) binti kutoka [Loyola High School inayopatikana Mabibo ndo alisoma hapo akiwa kama dada Mkuu(kiranja) pia aliwahi kutikisa Miss Tanzania

Sasa wana nawaletea wanawake kumi mashuhuri wenye mpunga wa maana huko mamtoni sana sana kwa Mzee Donald Trump

************************
Dola 1 ya USA= 2240 Tsh
***************************
Karibuni
........
Asante sana ,ni maarifa mapya nimepata ubarikiwe

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom