Makapuku Forum

Makapuku Forum

5Janet Jackson
54b90b2bc25384635d57ce5703b9c20e.jpg
528f88c0031f45b500457ed95c99e062.jpg
Alizaliwa Mei 16 1966
Ni dada wa Michael Jackson....utotoni familia yao ilianzisha kundi la muziki liitwalo Jackson 5 ambapo na Wacko Jacko na wengine walitamba vilivyo na ukawa ndo upenyo wao wa kutokea
Juzijuzi amwbahatika kupata mtoto yaani uzeeni angalia mwaka aliozaliwa utaelewa tu
Katamba kimuziki na kuingiza pesa za kutosha
Utajiri wake haujulikani vizuei maana kuna data zanakanganya
Ila Ni kuanzia USD 200Milion hadi kama 600 Milioni hivi(sina uhakika)
.......
 
5Janet Jackson
54b90b2bc25384635d57ce5703b9c20e.jpg
528f88c0031f45b500457ed95c99e062.jpg
Alizaliwa Mei 16 1966
Ni dada wa Michael Jackson....utotoni familia yao ilianzisha kundi la muziki liitwalo Jackson 5 ambapo yeye na Wacko Jacko walitamba vilivyo na ukawa ndo upenyo wao wa kutokea
Juzijuzi amwbahatika kupata mtoto yaani uzeeni angalia mwaka aliozaliwa utaelewa tu
Katamba kimuziki na kuingiza pesa za kutosha
Utajiri wake haujulikani vizuei maana kuna data zanakanganya
Ila Ni kuanzia USD 200Milion hadi kama 600 Milioni hivi(sina uhakika)
.......
Janet jamaan hiyo pic ya mwanzo huo mwili urudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom