Makapuku Forum

Makapuku Forum

2227f4dcc32a3653192364ba14157b85.jpg
Kisheria mtu huhukumiwa mara 1 au kushtakiwa mara 1 tu kwa kosa husika
Mtu yuleyule hawezi kamwe kuhukumiwa au kushtakiwa mara mbili kwa kosa lilelile katika mahakama zenye mamlaka yaleyale....Res Judicata

End

.........
Bitoz Asante
 
TOP TEN
Week end inaendaje wanangu?
Kama vipi njooni Mabibo City Nite Club tule gambe wana....maisha yenyewe mafupi kama stuli !!
Kama kawaida Ijumaa tunamaliza week kiburudani au kiudakuudaku zaidi maana ndo mwendo wetu siasa zinachosha

Umaarufu bila pesa ni kazi bure au ukipenda sema ni kuuza sura tu
Kwa Bongo wanawake maceleb wenye mkwanja ambao unaeleweka ni Lady Jaydee(komando Jide} na Jokate Mwegelo {Kidoti) binti kutoka [Loyola High School inayopatikana Mabibo ndo alisoma hapo akiwa kama dada Mkuu(kiranja) pia aliwahi kutikisa Miss Tanzania

Sasa wana nawaletea wanawake kumi mashuhuri wenye mpunga wa maana huko mamtoni sana sana kwa Mzee Donald Trump

************************
Dola 1 ya USA= 2240 Tsh
***************************
Karibuni
........
tipo tipo
 
6/Beyonce Knowles--Carter
2110401c996769d6914ac21d6ec69f68.jpg
bba97fb107313b27bfd61bd01dc2b68e.jpg

Amezaliwa Septemba 4 1981
Huu ndo usingizi wa Jay Z....Kama huna mpenzi wala usione wivu tafuta hata bata ulale nae
Beyonce na Jay Z wamejaaliwa mtoto mmoja Blue Ivy ila pia ana ujauzito wa mapacha(keshajifungua ?)
Nyota yake ilianza kung'ara akiwa Destiny's Childna akina Kelly Rowland na wengineo
Ana biashara kibao akishirikiana na Jay Z mbali ya kazi zake za kimuziki
Ana mkwanja unaofikia USD Bilioni 1 na ushee
.......
 
6/Beyonce Knowles--Carter
2110401c996769d6914ac21d6ec69f68.jpg
bba97fb107313b27bfd61bd01dc2b68e.jpg

Amezaliwa Septemba 4 1981
Huu ndo usingizi wa Jay Z....Kama huna mpenzi wala usione wivu tafuta hata bata ulale nae
Beyonce na Jay Z wamejaaliwa mtoto mmoja Blue Ivy ila pia ana ujauzito wa mapacha(keshajifungua ?)
Nyota yake ilianza kung'ara akiwa Spice Girls na akina Victoria Beckham{PoshSpice). Mel B na wengineo
Ana biashara kibao akishirikiana na Jay Z mbali ya kazi zake za kimuziki
Ana mkwanja unaofikia USD Bilioni 1 na usher
.......
[/b]
Hahahh yaan we Bitoz
 
10/Angelina Jolie
5e69e2b5f52743589475be6f1fb77b23.jpg
0985efaafc1e617228e09f0158a86dcd.jpg
Ni mcheza filamu maarufu huko Hollywood nchini Marekani
Ni demu wa Brad Pitt na walijaaliwa hadi kupata mtoto/watoto pamoja yaani kitu kimelipa...pia wameasili watoto kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwepo kutoka Afrika
Kupitia filamu anaingiza mkwanja mrefu kama urefu wa treni ya Mwakyembe inayozurura huku Joto City
Ana mpunga unaokadiriwa kufikia USD 120 Milioni
.....
fundi sana huyu dada
 
6/Beyonce Knowles--Carter
2110401c996769d6914ac21d6ec69f68.jpg
bba97fb107313b27bfd61bd01dc2b68e.jpg

Amezaliwa Septemba 4 1981
Huu ndo usingizi wa Jay Z....Kama huna mpenzi wala usione wivu tafuta hata bata ulale nae
Beyonce na Jay Z wamejaaliwa mtoto mmoja Blue Ivy ila pia ana ujauzito wa mapacha(keshajifungua ?)
Nyota yake ilianza kung'ara akiwa Spice Girls na akina Victoria Beckham{PoshSpice). Mel B na wengineo
Ana biashara kibao akishirikiana na Jay Z mbali ya kazi zake za kimuziki
Ana mkwanja unaofikia USD Bilioni 1 na usher
.......
sikuwa najua kama alipita Spice Girls
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom