Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,002
Mchungaji sio wa mchezo mchezo anajilia tu vilivyononaMchungaji anakula kondoo alonona
Mchungaji sio wa mchezo mchezo anajilia tu vilivyononaMchungaji anakula kondoo alonona
Nimemkuta na Lee hukoooHahahhh
Dada kiboko jamaan
HahaaaAcha maneno weka muziki
Sawa shem darlingUsijali sweeetie..
HahahaUsijali sweeetie..
MondrayShemeji kwa nani?
Nimemkuta na Lee hukooo
anatoa ushauri ilikuwa mmu hatimaye baba d katembeaNa mkewe yuko busy kufungwa ati wanafanyiwa mauzauzaMchungaji sio wa mchezo mchezo anajilia tu vilivyonona
Ndio... Nimeshangaa kweli![]()
![]()
anatoa ushauri ilikuwa mmu hatimaye baba d katembea
Utajiri wa Beyonce hauzidi USD 400 Milioni ila pale ni pamoja na wa Jay zNaskia ana kanisa lake na yeye ndio mungu Wa hilo kanisa ana biblia yake pia
Duh makubwa! Nani kaniozesha kwa mtu nisiyemjua?Mondray
Kwahiyo we ndio ulimkutaNdio... Nimeshangaa kweli
akamshauri vipi
Na mkewe yuko busy kufungwa ati wanafanyiwa mauzauza
wajinga ndio waliwao mchungaji hapo anajiona bonge la mshindiDooh!10/Angelina Jolie
Ni mcheza filamu maarufu huko Hollywood nchini Marekani![]()
Ni demu wa Brad Pitt na walijaaliwa hadi kupata mtoto/watoto pamoja yaani kitu kimelipa...pia wameasili watoto kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwepo kutoka Afrika
Kupitia filamu anaingiza mkwanja mrefu kama urefu wa treni ya Mwakyembe inayozurura huku Joto City
Ana mpunga unaokadiriwa kufikia USD 120 Milioni
.....
Kamwambia anaibiwaKwahiyo we ndio ulimkutaakamshauri vipi
Na kweeli... Ndo maana wanaume hawapendi wanawake wasomi bhana![]()
![]()
wajinga ndio waliwao mchungaji hapo anajiona bonge la mshindi
Kweli aisee huyo dada jamaanNa kweeli... Ndo maana wanaume hawapendi wanawake wasomi bhana
Hahaha![]()
![]()
Baba D kamwambia ukweli kabisa
HahahhhHahaha
Mama Mchungaji haelewi