Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
NzuriiiJamani habari ya weekend
Ukishindwaa semaaKazi sanaa hasa kwangu maana najielewa udhaifu wangu wa kutokuongea sana na aibu..
Ukishindwaa semaa
Ukoa jahazi bablaiAkya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya
Jamaaa nanga kweli kweliii mikeUkoa jahazi bablai
Pole unaendeleaje?Nakuombea uponeHeshima kwako binamu ...
Mm siko poa kivile kihoma kwa mbaliii
Kijana unatuangushaa wana kamatiiiOKOA JAHAZ KAMA KATIBA YETU INAVYOSEMA..
Ntaingilia atua ya mwishoNI ASSIST TAFADHARI..
sijawasahau wote wanaopenda kuruka majoka, yaani wazee wa mitikisiko, kutikisa na kutikisana. Hebu tuburudike na muziki huu kwa udhamini mzuri wa Shunie
Anaitwa Chidinma mshindi wa Kora na mnaijeria anayefanya vizuri kwenye muziki wa vijana. utavutiwa naye kwa sauti nzuri na sauti yake tamu inaendana na uchezaji wake. Utampenda.
Mama mchungaji nahisi ulikuwa uchovu leo nimeamka salama
Muziki: Wikend Tulivu
Ilikuwa ni wiki yenye mambo mengi, hatimaye leo ni Ijumaa na japo nayo inaelekea kuisha lakini sichoki kuamini kuwa umekuwa na siku njema kabisa. siku ya mwanzo wa mapumziko kwa wengi wetu lakini usisahau ndo wiki ya kurejesha nguvu iliyotumika katika siku tano 'za kazi'. Ni siku ya homework na bed-work kwa wale wenye majukumu na hatuwachi mbali wale wazee wa selfie yaani oneself. Hongera sana.
Unajua hupaswi kuifanya Ijumaa kuwa ngumu, ni siku ya kutafakari, kujipanga na kupanguliwa. leo hata sijui niandike nini maana siku imekuwa rahisi kuliko urais wenyewe. Ni mwendo wa sharubati na monde kwa kwenda mbele yaani si mchezo. Si unajua kuna makande, yeah, mchakanyiko wa nafaka zinazopikwa pamoja. Mmmh, na wapo wanaochanganya vinywaji sasa, makande ya vinywaji, azam juice, mo soda, safari lager, savana na konyagi ili mradi tu kulifanya tumbo litambue kuwa nalo ni sehemu ya mwili.
Muziki sasa, kapuku mwenzangu leo tunahama kidogo kwenye ile myuzikiz zetu na tunaenda kwenye muziki wa taratibu, yeah haina kubamba wala kubambia. Unakaa chini na unatikisa mguu taratibu, ukiona umeguswa sana basi unaamka kwa adabu na kwenda kumtuza mwimbaji. Ndivyo alivyokuwa anafanya hata mzee wetu kipenzi Ali H. Mwinyi. Sasa leo kaa chini uburudike na wimbo huu hapa mtamu kabisa.
Ubarikiwe Mkuu Bitoz weekend njema asante sana1/Oprah Winfrey
Alizaliwa Januari 29 1954![]()
Utotoni akitokea familia ya kimaskini Hivyo kupitia changamoto kibao
Akiwa na umri mdogo alibakwa na nduguye ...haikuidhia hapo
Akiwa na umri mdogo tu akapewa ujauzito ila akapoteza kichanga chake baada ya kujifungua(mtoto walifariki) ila akaendelea na ndoto zake......Huku Bongo Sizonje hawataki mabinti waliopataujauzito waridi shule(mi nampinga)
Hajabahatika tena kupata mtoto![]()
Mweneshaji huyu wa zamani wa vipindi vya luninga ana vidole 6 mguu wa kushoto ....pamoja na kuwa na utajiri mkubwa lakini amejikubali na kuviacha kama vilivyo licha ya utotoni kuchekwa
Halle Berry naye mguu mmoja ana vidole 6.,..
Ana utajiri unaofikia USD 3 Bilioni
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...........