Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Mama mchungaji nahisi ulikuwa uchovu leo nimeamka salama
...anko, wewe si ulikuwa kwenye ile kamati ndogo maalum, kamati teule ya watu wawili! Ila mbona ripoti hamjakabidhi sasa?
Umeshindaje mjomba
Mama mchungaji nahisi ulikuwa uchovu leo nimeamka salama
Binamu heshima yako naomba nyimbo ya kassim mganga lea...anko, wewe si ulikuwa kwenye ile kamati ndogo maalum, kamati teule ya watu wawili! Ila mbona ripoti hamjakabidhi sasa?
Umeshindaje mjomba
Binamu heshima yako naomba nyimbo ya kassim mganga lea
Kuna uzi nimekuta umetajwa kule, eti masuper star wenye sifa mbayaMadomo zege eti aisee ile audio inachekesha sana![]()
![]()
jamaa anaongea na demu anataka tamu lakini anajizungusha anashindwa kumwambia
Kuna uzi nimekuta umetajwa kule, eti masuper star wenye sifa mbaya
wapiiiKumbe kweliiiii mpo hiviiii kuna thread nimesoma mmu kuhusu nyie na audio imewekwa
Sawa binamu yangu asanteHeshima kwako pia aunt yangu. Leo nilipanga kuweka nyimbo mbili, zilipendwa na bongo fleva, so hiyo ya Kassim imepita bila kupingwa.
Nitaitupia baadaye kwa sasa hivi naburudika na ule wimbo wa Fally Ipupa Eloko Oyo, kuna mdada mmoja namshabikia sana, kule mwisho mwisho anajisusa kabisa basi mimi full kuburudika.
Hujambo lakini?
Ooooooh kumbe na wewe unaifatiliaa nilijuaa ni ya shunie na tumosa
Binamu mambo ya kamati yanabaki kuwa ya kamati ila nimekamatika na kamati make kwanza naomba nijue huyu mwanakamati umemtoaa wapiiii....kiukweli yuko makini haswaaaaa na mtaalamuu haswa kuandaa pasipo kuandaliwa...anko, wewe si ulikuwa kwenye ile kamati ndogo maalum, kamati teule ya watu wawili! Ila mbona ripoti hamjakabidhi sasa?
Umeshindaje mjomba
Asanteee ngoja nipigee chaboo
Wewe kila siku unaomba wewe ??Binamu heshima yako naomba nyimbo ya kassim mganga lea
Pole sana mondrayKila mtu na kipaji chake shunie..
Katika vitu nilivyokosa maishanj mwangu na hua naumia sana kuvikosa ila ndio Mungu kaniumba hivyo ni kuongea..Yaani sijui kabisaaa hata kupiga stori na watu mda wote nipo kimya pekee angu.Mtu nayeweza kuongea nae bila kukwaruza ni mama tu!! Hata baba hua ni salam tu maana nayy ni mtu wa kukaa kimya..Nikikumbuka mara ya kwanza kufanyiwa intaviu hua nabak najicheka tuu maana sijui khjitetea yaani siku nikipata kesi baasi jela inanihusu hata kama kosa sikutenda..
Bahat nzuri nilijaliwa upole na Aibu kiasi..
Mmh jamaan kwani mmekatazwa kuombaWewe kila siku unaomba wewe ??
Pole sana mondray
Shaka ondoaa kabisaaa ....weew si umenizoeaa porojo za mama mwajumaaa na uku nipooo....ni makosa makubwa kutofatilia kitu kilichoandikwa kwa mtindo wa flashback, na ndani unakutana na zaidi ya story moja. Yaani ukweli mtunzi kama ni wewe nakupa gwala na sio magwangala. Nakama wewe sio mtunzi basi nakupa beki tatu.
Utani pembeni! Anko hii story ni nzuri sana. Sema wakati mwingine nachelewa kuiona so next time hebu nitag ili isinipite kama baba usipitwe
Shaka ondoaa kabisaaa ....weew si umenizoeaa porojo za mama mwajumaaa na uku nipooo....ni makosa makubwa kutofatilia kitu kilichoandikwa kwa mtindo wa flashback, na ndani unakutana na zaidi ya story moja. Yaani ukweli mtunzi kama ni wewe nakupa gwala na sio magwangala. Nakama wewe sio mtunzi basi nakupa beki tatu.
Utani pembeni! Anko hii story ni nzuri sana. Sema wakati mwingine nachelewa kuiona so next time hebu nitag ili isinipite kama baba usipitwe
Akijib nitagAhsante sio makosa yangu bali ni Upungufu wa maneno mdomoni Nipigie Assist kwa Demi..
Huku jf![]()
![]()
wapiii
Nimeuona aisee husna kanihalibia sana jinaHuku jf
Shaka ondoaa kabisaaa ....weew si umenizoeaa porojo za mama mwajumaaa na uku nipooo