Alizaliwa Februari 4 1931
Aliongoza Argentina kuanzia mwaka 1974 Julai 1 hadi tarehe 24 March 1976
Amewahi pia kuwa Mama Samia[/I} wa Argentina ila alikuwa na sauti sio km wetu wa bwana mkubwa Sizonje anayepelekeshwa pelekeshwa tu
......
Leo katika historia
29/06/1978 Mwanadada mrembo Nicole Schetzniger anazaliwa. Huyu ni mwanamuziki kutoka nchini Marekani ambae anakubalika kwa vibao vyake mahiri kadha wa kadha.
Mi naukubali wimbo wake unaoitwa Lie about us alioshirikiana na Avante
Malinzi simkubali ila naona wapinzani wake wamejipanga kumng'oa kwa mbinu zote
Hii figisu ya rushwa hachomoki
FIFA huwalinda wezi wenzao kwa kusema mambo ya mpira yabaki mpirani
.....
Samtaimu staa wa timu kapteni apige penati ya kwanza ili kuinua morali ya timu badala ya kusubiri ya mwisho aonekane shujaa
CR7 Ndo alichokuwa anasubiri matokeo yake kaenda kupiga penati yake # 5 chumbani kwake