Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekumbukaa binamu

Vipii mbona apa napokea beep ya yule wa tandika uliyosave sudan ...kuna nn leo

Alafu binamu uuwe unachagua bhas wa kuwapa namba make huu mchezo wa kubadilishana namba mm unanioneagaa

Akikudeep tena weka vibration hutosikia, msumbufu sana yule
....ha hahahaha! Yule nilimpa tu kama mambo yasingeenda vizuri pale nilipokuacha. Anakaa karibu na hospital wanapaita mwembe yanga sijui.
 
73aa1a49d9fc23c96ad4125437ad229d.jpg

Life....
 
Akikudeep tena weka vibration hutosikia, msumbufu sana yule
....ha hahahaha! Yule nilimpa tu kama mambo yasingeenda vizuri pale nilipokuacha. Anakaa karibu na hospital wanapaita mwembe yanga sijui.
Nimempigiaa make nimekopa hapa kwenye mtandao ...anasema niende alafu mm nipo uku dampo kwa yuleeeee wetuu ....sijui nipige 2 in 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom