Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna mtu niko nae hapa;

Namuuliza raha ya shanga nini.

Anasema raha ya shanga mzikate wakati wa Bed-kwaito afu muanze kuziokota moja moja wewe na mpenzi wako[emoji3][emoji3]

Sasa hiyo raha ama karaha [emoji23][emoji23]
Binamu obe ebu njo umsikilize T kakuficha huyo hakunaga habari hizo sijawahi kusikia hizo
 
Back
Top Bottom