Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Mama D
Mama D
Kila mtu na tabia yake TMbona sakayo kaniweze mimi ?
Kupata moja baridi moja motoKwenda wapi wewe mwanamke jamanii
Aanze yeye tuMama ashura hamna kitu wee mpeleke anaweza kukupeleka kwa cheusi mangala
Sina maana hiyo lakini hiyo mimba y inanichukia hivoKwahiyo mie ndio wa kuvaa magololi
Eeeh!Wacha woga T.
Baba D hayo magololi unayavaaje jamaan ebu mengine mnipunguzie we na binamu yakoSina maana hiyo lakini hiyo mimba y inanichukia hivo
[emoji36]Mshenga wenu ushamgeika tena
Basi lee anamla mama ashura..Huko kwa binamu obe kwa mdogo wake mama ashura mvaa shanga 700
Najua zile za mama ashur unazijua..Daaaah ungejuaa
[emoji4] [emoji4]...ha hahahaha, bado mapema! bado muda kidogo nilianika betri juani zipate chaji
BinamuUmezijulia wapiiii we si hauzijui baba d
Mbona kwenye friji zimejaaKupata moja baridi moja moto
Naona anavuka mipaka sasa[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mwee hurumia mbavu zangu
Kuna mtu niko nae hapa;Kwahiyo mie ndio wa kuvaa magololi
MdauSheme[emoji4]
Bhinamu atakuwa amwsema hayo ashakunywa uji wa mzazi ...ila usiulize nan kazaaBaba D hayo magololi unayavaaje jamaan ebu mengine mnipunguzie we na binamu yako
Mbona nilikuwa sipo kwa siku kumi tu...... Nilikuwa 'porini' si unajua tena.Aisee, umerudi mdau😀, ni vizuri kukuona tena hapa. karibu, tushamaliza futari tunasubiri kukuche tupashe kiporo
Aah! Sawa SKila mtu na tabia yake T