Makapuku Forum

Halafu nimeshangaa sana kumbe hawa jamaa hata sisi tuna nafuu.... Wenzetu wamezidi sana jamani
 
Hata hawa pia 90% ni wakristu tena wakatoliki basi tu wanaamua kujitoa fahamu
 
Hapo Africa Magharibi ni shida
 
Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.

Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe

U guys u were more than friends kwangu ni kama family

Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo

I love ya'all.
 
Kumbe hawa nao wamo?? Sikuwahi kuwafikiria
 
Kiunoni bana huoni baba d ndio anaposhinda huko na binamu labda akiniletea hizo nikimvalia anaweza tulia
Afu hivi hizo mavitu zinasaidia nini?

Manake kuna mahali nilipita nikakuta wanapinga kuhusu shanga na wakasema zamani zilivaliwa na wanawake zikiwa na maana fulani fulani...

Mfano; mwanamke akiwa kwenye hedhi atavaa shanga nyekundu so mme akiona tuu anaelewa No game, hivyo na zingine zilikuwa na maana zake pia..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…