Makapuku Forum

Interesting
 
.....aaah, anko haya mengine ni kama tulivyoongea!
Nikiapia hapa sitaaminika hata kidogo
Nimekumbukaa binamu

Vipii mbona apa napokea beep ya yule wa tandika uliyosave sudan ...kuna nn leo

Alafu binamu uuwe unachagua bhas wa kuwapa namba make huu mchezo wa kubadilishana namba mm unanioneagaa
 
1/Indonesia Nani nasema Waafrika pekee ndio wachawi?...tembea ujionea
Huku nako usiku ni mwendo wa kuvua nguo na kuwanga
Rais wao keshasema hadharani kwamba anaamini katika ushirikina na kuwa Rais mchawi pekee duniani ....wewe na mimi kama hatuamini uchawi ni Imani/msimamo wetu
Waindonesia ni noma kiasi kwamba serikali unataka kuifanya practisi ng black magic iwecrimal offence
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........
 
Wachawi wakuu ni wanawake
 
Kwahiyo eneo hilo sasa hivi hakuna tena wachawi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…