Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwanini awe ndugu yangu? Nafanana naye mwandiko au?
Sio kwamba mnafanana hapana nilimaanisha muonekano wa yule binti aseeh unasikitisha na unaweza ukakuvutia pia kama mwanaume rijali ila ni masikitiko zaidi kama ni ndugu yako inamaana ninyi kwenye vikoba hua amuelimishani wanawake na stara
 
We unaweza kumuelimisha mtu mzima mwenzio? Zipo institutions zinazoelimisha watu kiujumla, kama ulimuonea huruma kwanini usingemsaidia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom