Makapuku Forum

Hahhah
 
Cobrepots ndo MALCOM LUMUMBA na Siku hizi namuona Malcolm Lumumba(herufu ndogo) nahisi ni yeye pia
Hao wengine nao watakuwa wapo JF kama kawa ila kwa ID Zingine na tunachat nao bila kujua
Kuna wakongwe wengi hapa KF kwa ID fekelo
..........
Huyu mtu majuzi alilike sana post zangu huku kapuku nikajiuliza si aliaga jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…