Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Hahahahaha kweli nilikuwa nakupa madongo sana. Halafu huyo aliyelikopi nae kavu sana... Hawezi kuwa kama wewe eti.Hahaha hilo jina lilinipa umaarufu, ilikuwa kiki tu, kuna member analitumia but kaongeza 2 mwishoni. Asante ulinipiga majiwe/mawe hadi nkaomba poo, nikaja na Kigli/quigley. I real miss those days, hakuna mfano wake Jimena
Mwenyewe ulikuwa unajitetea weee lakini sikuwahi kukuelewa asilani. Hahahahaha I miss those days too..... Hapa mai bebi Szczesny sambamba na mai bebi wa siri briz halafu my pacha na pia mke mwenzangu sweetiepie dah kweli maisha ni sasa bila kumsahau my secret admire Dj Cobblepots akikaa kwenye moja na mbili mambo yanakuwa barabara kabisa.
hahahahaha baadae yanaisha kisha tunaendelea na stori kama watoto yani