Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Yaani ni kama vile chitchat ya wenye PhD kuna wataalamu wa mambo kibaoYap, wapo watu na heshima zao, naamini tuliutendea haki uzi huu as long as uko chitchat
Kuna yule mwanabaiolojia katusaidia mambo kibao ya kitabibu na wanyama
.....


