Makapuku Forum

Makapuku Forum

YOELI 2

12.Lakini hata sasa asema BWANA ,Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote,na kwa kufunga ,na kwa kulia ,na kwa kuomboleza

Asante Baba kutuamsha salama.tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo,maneno na matendo uturehemu twakusihi.

Bariki MAKAPUKU wote mahali hapa ,tupe moyobwa kukutegemea na kukuamini na kila tunapoenda kinyume na mapenzi yako ,kwa matakwa yetu wenyewe hima tukurudievkwa kuomba,kutubu,kuomboleza ili utusamehe na tujute tusirudie yale runayozoea kutenda kwa kukusudia au bahati mbaya,tufundishe kusamehe wenzetu kama vile unavyotusamehe,asante kwa siku ya leo endelea kutuweka karibu tukufundushana kwa upendo na kuchukuliana.
fariji wafiwa,wajane,yatima ponya wagonjwa watie moyo waliovunjika moyo waendelee kukutegemea.

Asante BABA maana kila siku unasikia na kujibu maombi yetu.

Katika jina la YESU Amen

SIKU NJEMA WAPENDWA
 
3f6360703b33636ce367480768418a74.jpg
Ni kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom