Makapuku Forum

Makapuku Forum

Poa jimena, umepotea kweli kweli, najua umebanwa, upatapo nafasi tusalimie tu mpendwa, tumetoka mbalii. Nafurahi kukuona
Ni kweli, ila huwa nakuja kila mara nipatapo wakati. Nimefurahi kukuona pia halafu nikakumbuka lile jina lako la wakati ule ambalo kila mtu hapa makapuku alikuwa halipendi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahaha hilo jina lilinipa umaarufu, ilikuwa kiki tu, kuna member analitumia but kaongeza 2 mwishoni. Asante ulinipiga majiwe/mawe hadi nkaomba poo, nikaja na Kigli/quigley. I real miss those days, hakuna mfano wake Jimena
 
Back
Top Bottom