Makapuku Forum

Makapuku Forum

10e81725ca6bca2e2894e8d175670580.jpg
 
[emoji524] YOELI 2

12.Lakini hata sasa asema BWANA ,Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote,na kwa kufunga ,na kwa kulia ,na kwa kuomboleza

[emoji523] Asante Baba kutuamsha salama.tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo,maneno na matendo uturehemu twakusihi.

Bariki MAKAPUKU wote mahali hapa ,tupe moyobwa kukutegemea na kukuamini na kila tunapoenda kinyume na mapenzi yako ,kwa matakwa yetu wenyewe hima tukurudievkwa kuomba,kutubu,kuomboleza ili utusamehe na tujute tusirudie yale runayozoea kutenda kwa kukusudia au bahati mbaya,tufundishe kusamehe wenzetu kama vile unavyotusamehe,asante kwa siku ya leo endelea kutuweka karibu tukufundushana kwa upendo na kuchukuliana.
fariji wafiwa,wajane,yatima ponya wagonjwa watie moyo waliovunjika moyo waendelee kukutegemea.

Asante BABA maana kila siku unasikia na kujibu maombi yetu.

Katika jina la YESU Amen

SIKU NJEMA WAPENDWA [emoji7] [emoji7]
Asante mama mchuchu..
 
Girl: Baby kila sikukuu za eid zikifika wenzangu
wanapelekwa out na baby zao mara
serengeti, mara Zanzibar kwann
wewe hunipeleki?

Boy: sikukuu hii nitakulepeka

Girl: waooooo bby asante umeplan
kunipeleka wapi?

Boy: ntakupeleka KIBITI

Gil: nyoooo!! kafe mwenyewe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom