Ahsante sanaaaaaaaaOoooooh ongera sana dear ....happy birthday
Keki nyumbani,karibuKeki wapiii sasa
Ahsante sanaaaaHBD
Nikutakie miaka mingimingi
.....
Nakupitia jiandae..Twende basi tukale keki
AsanteKeki nyumbani,karibu
Namtuma Gasper akuletee..Acha kunitamanisha basi... Ujue sina hata moja hapa

Sawa usichelewe jamaniNakupitia jiandae..
Asante mkuu Bitoz... Nimejikuta nalia, sa sijui ni aina ipi ya machoziEnd![]()
.
.
.
.
.
Tukutane jioni/usiku kwenye 10 kibwa
Niwatakie mchana mwema
.........
AsanteeEnd![]()
.
.
.
.
.
Tukutane jioni/usiku kwenye 10 kibwa
Niwatakie mchana mwema
.........
Eid Mubaraka wapenzi
Leo Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu,nani pacha wangu hapa

Hahaha, wengi walipuuza sana na wengine walituona tu wagomvi na wakorofi, hii ilitokana na watu walikuwa wanaingia humu na kutukejeli so tulikuwa tunawa attack kwa umoja wetuWakuu nimependaa throw back japo kipindi kile nilikuwa napaogopa kapuku kinomaaaaa....id yangu ya mwanzo ila nilikuwa siitendei haki
hadi wengine walituogopa sana tukiwa kwenye majukwaa mengine