Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kho Kho Kho KhoMimi nitakaa karibu na Sakayo halafu nitampa lift kwenye guta langu hadi Mabibo Mabwawani
![]()
![]()
![]()
.....
Madai yake mmekutana wakongweee... Mjuee na mie mkongwe humu
Kho Kho Kho KhoMimi nitakaa karibu na Sakayo halafu nitampa lift kwenye guta langu hadi Mabibo Mabwawani
![]()
![]()
![]()
.....
Weka Note:haahahahah hamna namna
Pole Kaka..Niliwahi kuumizwa sana na Patience123 na Sumbai utafikiri ni kweli. Nilitokea kumpenda sana utafikiri ipo siku tuta...aliponipiga kibuti na kuchukuliwa na sumbai iliniuma kweli.
Japo kwa sasa tu marafiki ni watu wazuri sana
Koh koh koh koh!Kho Kho Kho Kho
Madai yake mmekutana wakongweee... Mjuee na mie mkongwe humu
Abeeee
AmeeenTena huyu kaolea hapahapa Transcend+sakayo
AiseeeeCabblepots kuna siku alirudi kwa jina la Malcom lumumba, siku hizi simuoni.
Kiukweli sina mfano wa kufananisha zile siku.
Ni kweli kuna siku tulikuwa twatofautiana kwa muda lkn mwisho wa siku tulibaki WAMOJA, kf ilinifunza mengi kuanzia kuchukuliana kitabia na kukubaliana.
Tulionekana tunafanya mambo ya kijinga LAKINI nimegundua jf sasa wanaielewa kf na wengi hupita humu kimyakimya wanajifunza na KULIKE KIMOYOMOYO.
Kf imenipa marafiki wengi hadi wengine tunafanya project za maana baada ya kukutanishwa na kf.
Mimi huwa ninamsemo usemao "unaweza kuokota fedha jalalani"
Tuliitwa kila aina ya majina na kebehi eti kisa jina KAPUKU lkn leo wengi hupita humu na kujifunza, nimeshuhudia wakikiri kwa vinywa vyao.
Ni kweli hata nami natamani tukutane siku moja, I have nothing to hide hata niogope kukutana na mtu wa jf.
Cc mkongo
Shululu
Bitoz
Jimena
Sweetiepie
Lizzie
Beilly5
Manuu
Briz
Pat123
Mussoli5
Youngblood
Nawamis hawa viumbe wa kipindi kile
Si maanishi waliopo hawafai lahasha
Wakuu hapa twakumbuka mbaali sana mtuwie radhi. Tunaheshimu uwepo wenu sana
Transcend
Lee
Shunie
Sakayo
Husna
Fakalava
Bleesedhope
Mondray
Na wengine wengi
Ya kweli haya ?Pole Kaka..
Naona leo uko na upako wa enzi hizoo...
Ujue na mie mkongwe humu kapuku
Nkuletee juiceKoh koh koh koh!
Hivi wewe ndiye yule cheupe?Pole Kaka..
Naona leo uko na upako wa enzi hizoo...
Ujue na mie mkongwe humu kapuku
kweli mkuu, mbaya zaidi ukute ni group la ajabu..mbona balaaYaaani hiyo link kuna wengi watajiunga bila kupenda..
Manake ukiibofya tuu as long as una whatsapp lazima ujikute umo ndani..
Walitaka kutufungisha ndoa ya kikapuku asubuhi aisee..Abeeee
Ameeen
Wapiii hukoooItamcost mtu...! Labda mtu awe na sakayo hukoooo...na nisijue
Kuna mtu anataka akuibe..Wapiii hukooo
Yes my dear! Iwee ya bariidiiNkuletee juice
Watupe zawadi kwanza... Hatua tulofikia ni ya kupongezwaWalitaka kutufungisha ndoa ya kikapuku asubuhi aisee..
HeeKuna mtu anataka akuibe..
Usijali...Yes my dear! Iwee ya bariidii
Ni hatareee! Mimi nimegusa kwanza nikaangalia..kweli mkuu, mbaya zaidi ukute ni group la ajabu..mbona balaa

Hapana mdauNaona unakwepesha kwepesha!
Mtu tuko wote kapuku asubuhi na jioni .![]()