Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Huniamini auYa kweli haya ?
Cc: Bitoz na Quigley
Huniamini auYa kweli haya ?
Cc: Bitoz na Quigley
HapanaHivi wewe ndiye yule cheupe?
Sina tabia ya kubofya bofya linkYaaani hiyo link kuna wengi watajiunga bila kupenda..
Manake ukiibofya tuu as long as una whatsapp lazima ujikute umo ndani..
Mie sijadhubutu kugusa...Ni hatareee! Mimi nimegusa kwanza nikaangalia..
Ukiangalia kwenye hizo link code utaona neno whatsapp...![]()
Wewe shunie kakuleta juzi bhana..Huniamini au

MmmmhHahaaa!
Watu wataleft ujur
Sasa mie ndo nilimleta Shunie halafu nikaleft... Alikuwa hajui ka kuna uzi ka huuWewe shunie kakuleta juzi bhana..
Kipindi kile nakutungia mashairi hadi nakufuata MMU![]()
Duh wakongwe mpoKho Kho Kho Kho
Madai yake mmekutana wakongweee... Mjuee na mie mkongwe humu
Amina mtumishi, issue kubwa nilikuwa nimelogin JF na kwenye email account. Hizo mbio ilikuwa kama cinema.I see,bora ulipata simu yako Mungu yu mwema
Asante sana Mkuu, Leo niko Kigamboni napata upepo mwanana.Blessedhope, werrason, Bitoz, Mussolin5, Sakayo, Shunie, Transcend, Mondray, shululu, Tumosa, Tmuller, QUIGLEY, husna muba, Shedebe, Nyoka_mzee, Dingimtoto, toxic9, fakalava, Clkey, bullar na wengine wengi.
Nakutakieni Eid Mubarak
Poleee.Amina mtumishi, issue kubwa nilikuwa nimelogin JF na kwenye email account. Hizo mbio ilikuwa kama cinema.
Mie id ni hii hii, na wakati uzi unaanza nilikuwepo.. Mie sio mtu wa shari kwa hiyo zile page za mwanzoni ukizisoma hata wewe utapata hofu na ndo kilichoniogopesha... Mie nilikuwa nawasoma kila leo ndo maana hiyo siku nikamwagizia Shunie humu...Duh wakongwe mpo
Mimi sina cha kuficha nimejiunga JF na ID hii tu ila wiki wiki 3 kabla nilijiunga kwa ID nyingine nikasahau password ndo ikawa sababu ya kufungua hii yaani mimi ni kapuku haswa tena wa 2015
.......
Kipenziii rafikiiiSi unajua tena.... Tunajaribu kuweka sawa mahesabu.
Uzi mwanzoni ulivamiwa si unajua bendera fuata upepo ndiyo maana wa mwanzoni wengi huwezi kuwaona baada ya uzi kubadilika na kuwa sehemu ya peaceMie id ni hii hii, na wakati uzi unaanza nilikuwepo.. Mie sio mtu wa shari kwa hiyo zile page za mwanzoni ukizisoma hata wewe utapata hofu na ndo kilichoniogopesha... Mie nilikuwa nawasoma kila leo ndo maana hiyo siku nikamwagizia Shunie humu...
Nlikuwa naogopa saaana reaction yenu kule mwanzoni kwa kweeli... Hamkuwa kama mlivyo saa hii
Madenge sorry leo nilipiga pooo kwa taarifa nilichelewa kuamka na ilitakiwa niende pahala by emergencyMdau sijaona vitu leo
Siku imekuwa mbaya bila kuamshwa na chakula cha ubongo
.....