Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Jina lako Kali sanaaEt kujisahau![]()
![]()
![]()
Jina lako Kali sanaaEt kujisahau![]()
![]()
![]()
Jf nusura isimame aiseeIle 100K ilitisha sana na post zilikuwa overloded

Madenge na malkiaNadenge na Mbuzi
![]()
![]()
![]()
.....
Uko sahihi kabiaa.... Nilikuelewa hata hivyo sababu mi mwenyewe fomula yangu ni kama yako tu. Naishi sasa. Life is living.Nimekwambia tu sio kwamba nawafuatilia
Mimi huwa sijishughulishi sana na "wasiokuwepo" bora hata nikalishe mifugo yangu kuliko kumfuatilia mtu nisiyemjua
Ndiyo maana napenda kusisitiza hapa ni kama maisha ya shuleni/vyuoni ni wachache huanza pamoja na kuendelea urafiki baada ya kumaliza shule ila marafiki wapya kila siku huibuka makazini,kitaani n.k
Hivyo tufurahi na marafiki tulionao leo maana nao hatutokuwa nao kesho ila marafiki wa kweli wataendelea kuwepo
Maisha yenyewe mafupi
Life goes on
........
Hahahaa!Nakuhakikishia kitu kimoja kuigiza tabia ni ngumu na ipo siku utajisahau labda utumie ID nyingi tofauti tofauti kama GENTA ambaye ana ID zaidi ya 5
Binafsi nishazijua baadhi ya tabia halisi za watu kwa kufuatilia post zao majukwaa mbalimbali
Mfano kuna jamaa mmoja humu Jf ni bingwa wa kutukana akiwa kwenye thread zingine ila hapa KF huigiza upole na mara mojamoja hujisahau
.......
Ndio na mahari alipeSharti apitie kwa ankali, haaaaahaaaa

Asantee
Oooh! Who said so?Halafu mtapiga one stand stand
"Sijakufuatilia" maana urafiki wetu haujafika nje ya JF na wala hatujawahi kuwasiliana hata PM tuHahahaa!
Hebu leo niambie Transcend ni mtu wa aina gani?
Jimena Jimenes de la BrizOooh! Who said so?
Nitakutambulisha dada, ngoja ajeHalafu wala hata hujanitambulisha dada ako![]()
![]()
NasubiriaNitakutambulisha dada, ngoja aje
Naona unakwepesha kwepesha!"Sijakufuatilia" maana urafiki wetu haujafika nje ya JF na wala hatujawahi kuwasiliana hata PM tu
Namchunguza mtu tabia/menendo wake pale tu ninapokuwa na sababu milion za kufanya hivyo mfano ninapohitaji/anapohitaji urafiki uwe zaidi ya hapa
.......

Itamcost mtu...! Labda mtu awe na sakayo hukoooo...na nisijueJimena Jimenes de la Briz
Hahahaaaa!


haahahahah hamna namnaHahahaaaa!
Haya magroup si ndio mlikuwa mnalalamikia juzi ?
Ujituke group la wanawake afu njemba inajitupia humo![]()
Hahahaaaa!
Haya magroup si ndio mlikuwa mnalalamikia juzi ?
Ujituke group la wanawake afu njemba inajitupia humo![]()











Yaaani hiyo link kuna wengi watajiunga bila kupenda..

