Makapuku Forum

Makapuku Forum

Waje wote tuwape wosia kuhusu maisha ya ndoa hahaha
Hahaha nakumbuka vibuti enzi zetu, mara umemwagwa, mara mnarudiana, yaani ilikuwa fujo tu maadam uzi uende.
Sikilizia wakati wa kuweka rekodi sasa mfano 100k, yaani hakuna kulala kila mtu anarusha mkuki na tunasahau ku like.
Siku hazigndi na hazirudi lkn hutuachia kumbukumbu chungu na taamu pia.
 
Humu ndani Jambilo ndo Alikuwa mgomvi wangu # 1 jamaa mwanzo nilikuwa simwelrwi kabisa ila baadaye tukaanza kuelewana

Tatizo ni watu kuishi kwa maigizo na kujifichaficha kama panya ila yupo/wapo baadhi wanafahamiana
Mimi kabla ya kuanza kuwa na urafiki na mtu huwa nausoma mwandiko wake kwa umakini kupitia post zake hapa na thread mbalimbali na hapo napata mwanga ni mtu wa aina gani....nikinusa harufu ya majangamajanga "nampotezea"
........
Hahahaha jambilo si ndio huyu jamaa au

Ila mwandiko nao usikudanganye ujue, si umeona ule Uzi kule
 
Jimena my sister, hivi sizzyo7 kama sijakosea jina sijui naye kapotelewa wapi
Yupo JF + Ibra
Siku zote kwenye msafara wa mamba kenge pia wapo
Kuna baadhi walidandia tu thread mwanzoni ili kupata ujiko ....wale wa ukweli urafiki wetu uliendelea sasa mwaka wa pili huu na tupo imara na wengine kufahamiana kabisa
Wapo wazee wa fursa wamepata wake/waume/wapenzi kabisa

.....
 
Hahaha nakumbuka vibuti enzi zetu, mara umemwagwa, mara mnarudiana, yaani ilikuwa fujo tu maadam uzi uende.
Sikilizia wakati wa kuweka rekodi sasa mfano 100k, yaani hakuna kulala kila mtu anarusha mkuki na tunasahau ku like.
Siku hazigndi na hazirudi lkn hutuachia kumbukumbu chungu na taamu pia.
Sana yani halafu mwingine ukimpiga kibuti hapa anakasirika kweli wakati hapa tunaflirt tu
 
Humu ndani Jambilo ndo Alikuwa mgomvi wangu # 1 jamaa mwanzo nilikuwa simwelrwi kabisa ila baadaye tukaanza kuelewana

Tatizo ni watu kuishi kwa maigizo na kujifichaficha kama panya ila yupo/wapo baadhi wanafahamiana
Mimi kabla ya kuanza kuwa na urafiki na mtu huwa nausoma mwandiko wake kwa umakini kupitia post zake hapa na thread mbalimbali na hapo napata mwanga ni mtu wa aina gani....nikinusa harufu ya majangamajanga "nampotezea"
........
Hahaha yaani wewe umewahi kunipitisha sana, kisa kipande nilichokuwa naigiza plus jina vilikuwa vinakutatiza.
Nilichojaaliwa sinaga kinyongo ilibidi nichukuliane nawe hivyo hivyo hadi ulipoanza kunielewa.
Ilikuwa ni muvi flan amazing, zile siku ziliweka rekodi ya aina yake mkuu
Nilichojifunza kwa BITOZ ni kusimamia anachokiamini hata kama watu wanakipinga
 
Mi pia huwa naona it's okay tu mtu akibadili id ila kwa kesi ya Cobblepots naona ID zote zitaunganiswa na kuwa moja sababu ndio utaratibu.
Mod haunganishi (merger ID) kama hauItumii kuwakwaza/changanya watu au kutukana au magumashi mengine mfano kitapeli
Hivyo mimi hata nikizitaja ID zangu 300 hawawezi kuziunganisha maana sizitumii vibaya
......
 
Yupo JF + Ibra
Siku zote kwenye msafara wa mamba kenge pia wapo
Kuna baadhi walidandia tu thread mwanzoni ili kupata ujiko ....wale wa ukweli urafiki wetu uliendelea sasa mwaka wa pili huu na yupo imara na wengine kufahamiana kabisa
Wapo wazee wa fursa wamepata wake/waume/wapenzi kabisa

.....
Maana kapotea kabisa,

Hapo kwenye kupata mume na mke nani hao?
 
Yupo JF + Ibra
Siku zote kwenye msafara wa mamba kenge pia wapo
Kuna baadhi walidandia tu thread mwanzoni ili kupata ujiko ....wale wa ukweli urafiki wetu uliendelea sasa mwaka wa pili huu na yupo imara na wengine kufahamiana kabisa
Wapo wazee wa fursa wamepata wake/waume/wapenzi kabisa

.....

Ni kweli mkuu
 
Hahaha yaani wewe umewahi kunipitisha sana, kisa kipande nilichokuwa naigiza plus jina vilikuwa vinakutatiza.
Nilichojaaliwa sinaga kinyongo ilibidi nichukuliane nawe hivyo hivyo hadi ulipoanza kunielewa.
Ilikuwa ni muvi flan amazing, zile siku ziliweka rekodi ya aina yake mkuu
Nilichojifunza kwa BITOZ ni kusimamia anachokiamini hata kama watu wanakipinga
Ni kweli sisi kama binadamu kila mmoja ana mapungufu yake...kadri tulivyokaa pamoja ndo tulizidi kukomaa na mifarakano kupunguza
Siku hizi hata wazee wapo humu maana ujinga ujinga umepungua kwa kiasi kikubwa
. . ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom