shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Siku mingi sana aiseeSasa.... Ameondoka kabisa jf au? Nilikuwa namuelewa sana kuna siku tulikesha hadi asb tukiwa Mimi, Briz na Cobblepots halafu kesho yake Szczesny akanuna [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Halafu sisi nao eti siku nyingine tulikuwa tunanuniana lol
Utakuta mi siongei na Kigli[emoji53] hahahahaha baadae yanaisha kisha tunaendelea na stori kama watoto yani [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila kiukweli natamani siku moja makapuku wote ambao wataweza basi tukutane somewhere DSM tugonge cheers..... Na kupiga stori maana huu uzi nao ni homa ya dengue ama nene......