Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji15]New couple in town
[emoji15]New couple in town
Nyiee nawaona mjueeeNdio habari ya mjini, japo inafichwafichwa
[emoji1] hawezi mpendwa ataonekana tu kutokana na urefu wakeHivi twiga anawea kujificha kwenye nyasi?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Unasubiria krimasi kiangazi?
AsanteeEnd![]()
......
Kumbe tabia ya watu kuigaiga vitu wanavyobuni wenzao ilianza zamani sana......ni dalili ya watu kuishiwa ubunifu
Maji kufanya poa
[emoji1] hawezi mpendwa ataonekana tu kutokana na urefu wake
Ndo maana nimesema kiutalii zaidiMorning madenge ....
Kuhusu hilo bado sana kunishawishiii ...utalii weka kando
Kwelii kuiga kupo enz na enzKumbe tabia ya watu kuigaiga vitu wanavyobuni wenzao ilianza zamani sana......ni dalili ya watu kuishiwa ubunifu
Matokeo yake vinakosekana vitu vipya vya kuvutia
.
.
.
.
Ahsante mdau kwa facts
......
[emoji1] hawezi mpendwa ataonekana tu kutokana na urefu wake
Unawazungumzia akina Leodger Tenga,Peter Tino,Gibson Sembuli n.kHata mimi nimeshangaa sana
Tuna kizazi kilichocheza africon miaka ya themanini huko lakini hata mchezaji mmoja wao tu hata jina la mtaa hamna
Kweli hatuthamini vya kwetu
Mpendwa VP?! Mbona maswali yako ya kimitego hivyo[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Pamoja sanaMaji kufanya poa
Kupambana na bwana yule haiwezekani sana sana watazidi kumwandama na kumchafua km alichofanya Bashite kwenye unga
.
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
....
.
Yeah najivunia kuwa mpendwa wake[emoji4] [emoji4] [emoji4]