Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ewaaaaaaaah ...umeamka poa lakinii binamu ??.....nitasahau vipi mjomba, kitu Kolza wangu baba, Suke Chile, Chezi Temba na Defao, nalikumbuka sana na ninalitafutia muda muafaka maana ni bonge la goma. Anko unajua kuchagua madude