Makapuku Forum

Makapuku Forum

Najua Mama yangu kama unayapenda ndio mana nakupa sababu anayekupa hayupo baba mchuchu [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji264] [emoji264] [emoji264] [emoji264] [emoji262] [emoji262] [emoji262] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Shikamoo Mama yake shunii umeamkaje mama [emoji4]

Binamu fursa hii ujue we endelea kugonga like halaf utabaki kulia lia na kuniambia auntie unanichukia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
be43af71d283714006bf796b08c126d5.jpg
 
Niyonzima tena ??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Nimeona Victor Wanyama mchezaji mzaliwa wa kenya anayekipiga Spurs ambaye kiukweli soka la kenya analipatia sifa ...na kwake pia Jana kwenye mitandao hope ni kweli huku kwetu Dar es salaam ubungo[emoji20] [emoji20] [emoji20] kapewa mtaa kwa jina lake ...ok ni nzuri na kiukweli ni heshima kubwa ...swali Langu Huyu Mkenya kasaidia nini hapa kwetu au hapo Ubungo mpka anapewa heshima hiyo kubwa wakati kama kigezo mpira mbona tunao wengi hapa wakongwe na wanaondelea kuipeperusha bendera yetu....

Haijaniingiaa akilini
Eti Baba D na hii hotel ya wanyama huku mtaani kwetu ni yake eenh
 
Back
Top Bottom