Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Kwa nini shemela jamaan nilieNdiyo unataka kulia shemela
Kwa nini shemela jamaan nilieNdiyo unataka kulia shemela
Hahahhh nimemkuta jlw hukoAisee, ungemsalimia
[emoji23] [emoji23] acha tu shemela[emoji3] [emoji3] [emoji3]
New couple in townFafanua vizuri husna muba mpendwa wa Obe
Ndio habari ya mjini, japo inafichwafichwaNew couple in town
Ndio habari ya mjini, japo inafichwafichwa
Na nakuvurugaa kweliiiLong live kf me naweza kuelezea hata nisimalize jamaan tupo humu kama familly wengine hatujuani lakini unaweza jua tunajuana
Kapuku imenikutanisha na kivuruge wangu mimi apa Baba D wangu
Bitoz na wengine mbarikiwe kwa kuanzisha hii kitu, kuna upendo humu sio wa nchi hii nawapenda jamaan
Honey moonliv mwenyewe kapotelea wapii
Well sayName calling ni kutukanana matusi na lugha nyingine za kukera! Na hasa pale mnapokuwa hamtaniani.
Mfano, mimi hupenda kuandika mhamiaji haramu, kama nitamtaja memba wa hapa kama mhamiaji haramu ilhali inajulikana kabisa hatuna utani wa namna yoyote basi hii ni tusi au lugha ya kukera.
Napenda utanilakini si wa kukwazana na kama hatutaniani basi siwezi kufanya utani wa kukera hata sikumoja. Ikitokea nitaomba radhi
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Not Doroth bana [emoji85] ni Doreen
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Okay, hii mvua ya kiangazi si mchezo. Ilinyeshea ndani?
Mmi zangu huwekii bhinamuIt's a date. Hii nitaipandisha kesho bila kuchelewa. Asante kwa kudhamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya jamaan mwezi umeonekana kibiti![]()
Mwehuu weweePale ninapoomba simu ya Baba D kucheza game [emoji23] [emoji23] [emoji23] woiiiii nitakufwa mie kabla ya siku zangu![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]New couple in town
Mmi zangu huwekii bhinamu