Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Amina shemMungu azidi kukuweka
Nakumuwekea dada sakayo t wake
Tunawapenda sana
Amina shemMungu azidi kukuweka
Nakumuwekea dada sakayo t wake
Tunawapenda sana
Ni kweli ile ndo segment # 1 niligundua mapema ndiyo maana nikaanza kujazia nyama kuliko kuweka tu pichaWell ni kweli usemacho,
Aamyn Mungu awabariki waliokuja na wqzo hili la kuanzisha hili jukwaa
Sometimes hua nakuaga offline na hua siachi kuzurura hapa
Naipenda segment ya historia
Kuhusu mpenzi hilo hata sina usemi Mungu atusimamie milele
hahhahahKumbe zipo nyingi
Mambo ya mwezi wa 9 bado yako jikoni aiseeUnanitia wasi wasi bana nidokeze kidogo kinahusu nini au mambo ya mwezi wa 9![]()
Kina chowachekesha non!! Mnajua kulikuw na nn mule?!
Km sio gunia LA chawa basi akupe grasi ya makamasi
Binamu yako anakuwezea sana aiseeMzee wa kuhesabu vipiii ulivyosikia hapo unatamani uwe nazo
Sasa ya leo ni ninii lakini tMambo ya mwezi wa 9 bado yako jikoni aisee
Yaani huyu nilipomwambia nakaa Mtwara basi yeye nanchingwea kuwa karibu na msumbiji basi akajiona mreno kabisa, ana yule kaka yake anajiita figo. haq hahahahahh
Imerudishwa kwa ushawishi mkubwa sana, niliahidi kumnunulia chachandu nyingine
mzee wa chachandu
hahahhh kivip shemelaBinamu yako anakuwezea sana aisee
Fafanua name calling kuepusha mabalaa na kukwaza watu pia na wengine waeleweKaandika Bitoz na ninaongezea bila ruhusa (nimeacknowledge though)
Muhimu malengo yetu yametimia (na kutimia kwake hakutufanyi tukalewa sifa, Toyoda alipotengeneza gari aliendeleza ujuzi hadi leo tuna Toyota)
1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha) --- na bado tunaendelea kuwa karibu
2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga ), ujinga ujinga na name calling ni ngumu kuukwepa humu, Makapuku ni bahari Majahazi yapo na boat mwendo kasi zipo
Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
![]()
Saana na ni kitu kimojawapo inachoifanya hii familia ionekane tofautiNi kweli ile ndo segment # 1 niligundua mapema ndiyo maana nikaanza kujaza nyama kuliko kuweka tu picha
Dikteta kuandika kitu anachokijua[/b] siyo kukopi pekee
Jamaa yupo vizuri
.......
hahahhh hilo deni la kwa ba mloka la nani sasa
Mwaka uleeeeeeeee unakujaaa kwa mbaaali utasikia akiitwa tena baba Doroth..Anaitwa Baba Davie

Yupo ila JF haingii sana siku hiziQueen alipotelea wapi kweli![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Daaaah kwa chachanduu apoo umemfikishaaaaa...
Alafu mama ashura simuelewiiii mara etii hujatuma sijui nn

Acha tuu...Sasa ya leo ni ninii lakini t
Fafanua name calling kuepusha mabalaa na kukwaza watu pia na wengine waelewe
.......
![]()
mzee wa chachandu
Bitoz aliachwa kwenye mataaAshafunga ndoa na livy