Makapuku Forum

Makapuku Forum

Si uliniambia asubuhi simu anayo mama ashura baba d jamaan


Unafikir anko wangu atakubali kiurahisi! Ipo siku alishasemaga eti hajui kusoma na kuandika yaani mratibu elimu alikesha wakafikia muafaka aandikishwe ngumbaru japo azijue KKK

Siku ya kwanza tu walipomwandikisha akaambiwa aelezee K, yarabi toba, walimfukuza yeye alikuja na K yake tu sijui kaitoa wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom