Makapuku Forum

Makapuku Forum

kabisa tukiacha utani wa hapa kiukweli kapuku kuna mambo mengi ya msingi kujifunza na kuelimishana na pamoja jinsi ya kuishi na watu

Kapuku wengine ndo faraja yetu ...ukiingia humu unajisahulisha mengiii

Mm rafiki ninaoo hapa ...
Mpenzii ninayeeee
Maarifa kila siku napata ...

Mungu anipe nini kama sio gunia la chawa
Km sio gunia LA chawa basi akupe grasi ya makamasi
 
kuna wakati kuna vitu vinajitokeza kwa makusudi katika haya tunayofanya humu ndani.. Wengi tunawapa ustar Usiostahili.. Hawana wanachokiandika zaidi ya ujinga.. Tupo hapa kujenga na kurudisha Heshima ya Jf nzima... Hatuwezi kuwapandisha wale wasiostahili.. Tusimame imara
Sahihi
 
Kaandika Bitoz na ninaongezea bila ruhusa (nimeacknowledge though)

Muhimu malengo yetu yametimia (na kutimia kwake hakutufanyi tukalewa sifa, Toyoda alipotengeneza gari aliendeleza ujuzi hadi leo tuna Toyota)

1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha) --- na bado tunaendelea kuwa karibu

2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga ), ujinga ujinga na name calling ni ngumu kuukwepa humu, Makapuku ni bahari Majahazi yapo na boat mwendo kasi zipo

Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku

6623154a7cc7a11e3290f6b1fdaae85b.gif
Long live kf me naweza kuelezea hata nisimalize jamaan tupo humu kama familly wengine hatujuani lakini unaweza jua tunajuana

Kapuku imenikutanisha na kivuruge wangu mimi apa Baba D wangu

Bitoz na wengine mbarikiwe kwa kuanzisha hii kitu, kuna upendo humu sio wa nchi hii nawapenda jamaan
 
Unafikir anko wangu atakubali kiurahisi! Ipo siku alishasemaga eti hajui kusoma na kuandika yaani mratibu elimu alikesha wakafikia muafaka aandikishwe ngumbaru japo azijue KKK

Siku ya kwanza tu walipomwandikisha akaambiwa aelezee K, yarabi toba, walimfukuza yeye alikuja na K yake tu sijui kaitoa wapi
K ipiii hiyo binamu ebu elezea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom